Saturday, October 18, 2014

new video Hali na Mali Kidumu Ft Shela

https://www.youtube.com/watch?v=-Rjb4_-J_M8https://www.youtube.com/watch?v=-Rjb4_-J_M8

RAPPER T.I KUTOKA MAREKANI KU PERFORM LEO TANZANIA

Mwanamziki wa miondoko ya Hip Hop maarufu ulimwenguni T.I kutoka U.S.A leo hii atakuwa aki perform Tanzania Dar es Salaam, Ndani ya Leaders Club kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2014.
Serengeti Fiesta huandaliwa kila mwaka na Clouds Media Group ambao ni wakongwe waandaaji wa matamasha  makubwa nchini tanzania

Rapper T.I

 Wakati wakazi wengi wa Tanzania walipo kuwa wana msubili mkali T.I siku ya tarehe 17 Oct 2014 T.I alitupia Attention massage kwenye  Twitter yake kwaajili ya wapenzi wa mziki wake, Chek apo chini.

Tweet ya T.I


Nahii ndio stage ambayo  T.I atakapo Malizia mpago mzima usiku wa leo.

Wednesday, October 15, 2014

Msanii Mkubwa wa Reggae Legend Freddie McGregor atafika Kenya


Msanii wa kimataifa Mc Gregor  ina semekana kuwa atafika Mjini Nairobi  Kenya kwaajili yaku Perform mwezi November  tarehe 29

Legeng  Mc Gregor

Miss MUTESI AURORE KWENYE MASHINDANO YA (Miss Fashion Beauty Universal)

Aliyekuwa Miss Rwanda mwaka 2012 Miss Mutesi Aurore baada ya kushiliki mashindano mengi tofauti, sasa atajwa kuwa ni mmjoa kati ya washiriki wa shidano jingine linalo julikana kama  (Miss Fashion Beauty Universal) Mrembo huyu ndio anaye tangazwa kuwakilisha Rwanda katika mashindano hayo. Ikiwa ina repotiwa kuwa ata kutana na werembo wengine 50 kutoka nchi mbali mbali duniani kwaajili ya mashindano. 
Miss MUTESI AURORE


Miss MUTESI AURORE


Mpaka sasa mchujo una endelea, naku vote ni kupitia facebook ambapo unaingia kwenye facebook na kufanya like picha ya ambaye unataka aendelee.

Apa chini unaweza kuangalia picha za warembo wengine wanao shiriki masindano