Tuesday, October 14, 2014

KATI YA DIAMOND NA JOSE CHAMELEONI NANI MKALI KWA SASA

Diamond na Jose Chameleon ni wasanii ambao wote wanafanya vizuri Africa Mashariki lakini kuna utata kujua nani msanii ambaye anafanya vizuri kwa sasa na ataendelea kufanya vizuri kimuziki.
tuma maoni yako ili tuweze kujua ni nani unaye mpa nafasi nzuri zaidi


Dr Jose Chameleon 

Diamond Platinumz

No comments:

Post a Comment