Tuesday, October 14, 2014

RASS JAH BONE D AKIWA NDANI YA MAPIGO EAST AFRICA

Siku ya ijumaa saa nane mchana Rass Jah Bone D alitembelea studio za Family TV kwaajili ya interview Ndani ya Mapigo East africa inayo ongozwa na Bac-T.
Rass Jah Bone D and Bac-T





Na kabla ya hapo week mbili zilizopita mwana mziki wa kike kutoka Kenya anaye julikana kama Amani alitembelea Studio za Family TV ndani ya Mapigo East Africa
Bac-T aki salimiana na Amani

Bac-T akisalimiana na Promoter wa Amani

Bac-T akifanya interview 


No comments:

Post a Comment