Saturday, October 18, 2014

RAPPER T.I KUTOKA MAREKANI KU PERFORM LEO TANZANIA

Mwanamziki wa miondoko ya Hip Hop maarufu ulimwenguni T.I kutoka U.S.A leo hii atakuwa aki perform Tanzania Dar es Salaam, Ndani ya Leaders Club kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2014.
Serengeti Fiesta huandaliwa kila mwaka na Clouds Media Group ambao ni wakongwe waandaaji wa matamasha  makubwa nchini tanzania

Rapper T.I

 Wakati wakazi wengi wa Tanzania walipo kuwa wana msubili mkali T.I siku ya tarehe 17 Oct 2014 T.I alitupia Attention massage kwenye  Twitter yake kwaajili ya wapenzi wa mziki wake, Chek apo chini.

Tweet ya T.I


Nahii ndio stage ambayo  T.I atakapo Malizia mpago mzima usiku wa leo.

No comments:

Post a Comment