Tuki ongea na Manager wake AHMED Pacific, ametutangazia kwamba Kidumu anakuja Rwanda siku ya Ijumaa tarehe 28 November 2014 kwaajili ya Concert moja tu ambayo itafanyikia Kigali SERENA Hotel, ambapo msanii huyu ata kuwa akisherekea miaka 40 ya kuzaliwa na akiwa ba\do yupo kwenye mziki.
Na kwenye concert hii atakuwa kasindikizwa na msanii kutoka Burundi anaye julikana kama SAT-B pamoja na Man Martin msanii maarufu wa Rwanda.

